TUME ya uchaguzi imeahirisha uchaguzi katika kaunti za Kisumu, Siaya, Migori na Homa Bay. Vituo vya kura katika baadhi ya maeneo tayari v...
TUME ya uchaguzi imeahirisha uchaguzi katika kaunti za Kisumu,
Siaya, Migori na Homa Bay.
Vituo vya kura katika baadhi ya maeneo tayari
vimefungwa.
Kinyume na uchaguzi wa mwezi Agosti, katika
vituo vya kupigia kura hakukuwa na foleni ndefu.
Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amesusia
uchaguzi huo na kuwataka wafuasi wake wasalie manyumbani
Uchaguzi huu unatokana na hatua ya Mahakama ya
Juu kufuta uchaguzi uliofanyika tarehe 8 Agosti
COMMENTS