W aziri wa Fedha na Mipango Dkt. Filip Mpango (katikati) akiwa na viongozi wengine wa Serikali, Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) Biswalo Mgan...
|
Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt. Filip Mpango (katikati) akiwa na viongozi wengine wa Serikali,
Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP) Biswalo Mganga (kushoto), Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato nchini TRA Charles Kichere(kulia)
wakiangalia Mzigo wa Almasi uliokamatwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
|
|
Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt. Filip Mpango akisoma maelezo ya mzigo huo ambayo yalikuwa tofauti
kabisa na uhalisia mara baada ya kuhakikiwa na timu ya Wataalamu wa Kitanzania wazalendo.
|
|
Waziri wa Fedha na
Mipango Dkt. Filip Mpango akiangalia Mzigo huo wa Almasi kutoka kwenye kampuni
moja ya uchimbaji wa madini hayo Mwadui mkoani Shinyanga, mara baada ya
kuhakikiwa na Wataalamu Wazalendo waligundua
kuwa mzigo huo una uzito Kg. 29 tofauti na Kg.13 zilizoanishwa na
wahusika wa mzigo huo, na thamini yake ni zaidi ya Tsh. Bilioni 64.

Mipango Dkt. Filip Mpango akizungumza wakati akipokea Ripoti ya Uchunguzi wa
Madini hayo ya Almasi jijini Dar es Salaam.
|
|
Profesa Abdulkarim
Mruma akiwasilisha Taarifa yake ya Uchunguzi wa Madini yaliyokamatwa katika
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Picha na Mpiga Picha Maalum
|
COMMENTS