- Home >
-
-
Majaliwa Akabidhiwa Na Spika Wa Bunge Taarifa Ya Kamati Ya Kuchunguza Biashara Ya Tanzanite Na Almasi
Wednesday, 6 September 2017
 |
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai
Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi
kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. Katikati ni
Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) |

Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea Taarifa ya
Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye
viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu) |

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Spika
wa Buge, Job Ndugai baada ya kukabidhiwa na Spika Taarifa ya Kamati Maalum ya
Bunge ya Kuichunguza Biashara ya Tanzanite na Almasi kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Septemba 6, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
 |
Spika wa Buge Job Ndugai akizungumza baada ya
kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite
na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
 |
Baadhi ya Wabunge walioshiriki katika hafla ya
kupokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuichunguza Biashara ya Tanzanite
na Almasi kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu)
|
 |
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto kwake)
wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Maalum iliyoundwa na
Spika ya Kuchunguza Biashara ya Tanzanite baada ya Spika kupokea Tarifa
hiyo na kumkabidhi Waziri Mkuu kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba
6, 2017. Aliyekaa kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson na aliyeka
kulia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Job Ndugai. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu) |
 |
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto kwake)
wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati Malum iliyoundwa na
Spika Kuchunguza biashara ya Almasi baada ya Spika kupokea
Taarifa hiyo na kumkabidhi Waziri Mkuu kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma
Septembea 6, 2017. Aliyekaa kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
na aliyeka kulia ni Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Job Ndugai. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu) |
 |
Baadhi
ya wajumbe wa Kamati Maalum iliyoundwa na Spika wa Bunge Job Ndugai kuchunguza
Biashara ya Tanzaniate wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati
alipozungumza baada ya kukabidhiwa na Spika wa Bunge Job Nduga
Taarifa hiyo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 6, 2017. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu) |