Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini ya Tanzan...
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akipokea Taarifa ya Kamati Maalum ya Bunge ya Kuchunguza Madini
ya Tanzanite kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwenye hafla iliyofanyika
Ikulu jijini Dar es Salaam. |
|
Wabunge wa Kamati Maalum ya Uchunguzi wa Biashara ya
Madini ya Almasi na Tanzanite nao wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli |
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge
Job Ndugai, Mwenyekiti wa Kamati Maalum ya Bunge iliyochunguza biashara ya
Almasi, Mussa Azzan Zungu(wakwanza kulia waliokaa), Mwenyekiti wa Kamati Maalum
ya Bunge iliyochunguza biashara ya Tanzanite Doto Biteko(wakwanza kushoto
waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Kamati hizo za uchunguzi
pamoja na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Ikulu jijini Dar es Salaam.
|
|
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmoja wa Wajumbe wa Kamati hiyo ya
Uchunguzi wa Madini David Silinde Ikulu jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
|
COMMENTS