Karibu katika ukurasa na Jukwaa hili huru kwa ajili ya Injili/Neno la Mungu kwa taarifa mbalimbali ulimwenguni kiroho na kimwili kwa madhumuni ya kuujenga mwili wa Kristo
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa
Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akizungumzia
maadhimisho ya miaka 53 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo la Wananchi katika
Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es Salaam.

Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza
Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wa kwanza
kushoto pamoja na Jenerali Mstaafu Davis
Mwamunyange mara baada ya kuzungumza kuhusu kuhusu miaka 53 tangu kuanzishwa
kwa jeshi hilo la Wananchi katika Makao makuu ya Jeshi hilo Ngome jijini Dar es
Salaam.
Mkuu
wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa
Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwa katika picha na Jenerali wa kwanza
Mzalendo kuliongoza Jeshi hilo Jenerali Mstaafu Mirisho Sarakikya wanne kutoka
kushoto Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange wanne kutoka kulia Mnadhimu Mkuu wa
Jeshi Luteni Jenerali Mwakibolwa watatu kutoka kushoto mstari wa mbele pamoja
na Wakuu wa Kamandi na machifu wa Makao makuu ya Jeshi hilo.