Karibu katika ukurasa na Jukwaa hili huru kwa ajili ya Injili/Neno la Mungu kwa taarifa mbalimbali ulimwenguni kiroho na kimwili kwa madhumuni ya kuujenga mwili wa Kristo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 29, 2017. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi. (PICHA: Na Ikulu)